|
|
Ayatullah Ali Khamenei:
Nchi hii inahitajia jihadi ya kielimu katika nyanja zote
2010/09/05 - 22:08
Chuo Kikuu ni injini ya maendeleo ya nchi na kama taifa linataka kuwa na heshima, istiklali, uhuru, nguvu na utajiri, basi halina budi kuimarisha vyuo vikuu vyake.
Hayo ndiyo mambo makuu yaliyokuwemo kwenye hotuba ya Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran aliyoitoa Jumapili, Septemba 5, 2010, mbele ya mamia ya wahadhiri wa vyuo vikuu na vituo vya elimu ya juu nchini.
|
 |
 |
|
Katika ujumbe wake kwa Waislamu wote dunia kwa mnabasa wa maafa makubwa ya mafuriko nchini Pakistan, Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu asema:
|
|
Kiongozi Muadhmu wa Mapinduzi ya Kiislamu:
|
|
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu:
|
|
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu:
|
|
|
Imam Khomeini
Alikuwa Roho ya Allah ambaye kwa kutumia mkono mweupe wa Mussa na maelezo yanayotenganisha haki na batili ya Mustafa, alijifunga kibwebwe kuwaokoa watu wanaodhulumiwa.
|
|
Palestina
Suala la Palestina ndilo suala muhimu zaidi na kadhia kuu ya ulimwengu wa Kiislamu
|
|
Uhuru wa Kijamii
Uhuru ni sehemu ya maumbile ya mwanadamu, na uhuru wa kijamii katika kamusi ya kisiasa duniani una asili katika Qur'ani.
|
|
Wanawake
Hii leo tumeweza kuwa na idadi kubwa ya watu wenye vipawa vya kifikra, kielimu, kimatendo, wanasiasa hodari na wataalamu wa masuala ya utamaduni na sanaa chini ya kivuli cha vazi la hijabu.
|
|
|